01. Download Excel (Kitufe cha kijani hapo juu).

02. Kwenye Excel hiyo, kuna safu mbili tu: Safu ya "name" na Safu ya "sex"

03. Bila kuongeza safu yoyote, weka majina kamili ya wanafunzi wa shule yako kwa kidato husika na jinsia zao.

04. Kwa safu zote mbili, epuka kuanza na nafasi (Space). Tafadhali zingatia sana hilo!

05. Kisha, andika jina la shule na uchague Aina ya Shule ili kufungua sehemu zingine za kujaza.

Kipengele cha 5 hapo juu, ikiwa shule ni ya serikari (kawaida/kata), chagua: 1- Shule ya Serikali. Ikiwa shule ni ya binafsi (Private School), chagua: 2 - Shule Binafi. Ludewa kwanza kwa kipee, chaguo ni: 3 - Shule Teule (Special)

MUHIMU: Ikiwa ulikuwa umefuta data za shule na unataka ku-upload upya, bofya kitufe chekundu cha "Anza Upya" hapo juu ili namba zianze na 0001.